Home KITAIFA RAIS DK.MWINYI AJUMUIKA NA WANANCHI WA MKOA WA KUSINI PEMBA KATIKA FUTARI.

RAIS DK.MWINYI AJUMUIKA NA WANANCHI WA MKOA WA KUSINI PEMBA KATIKA FUTARI.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amejumuika na Wananchi wa Mkoa wa Kusini Pemba wakiwemo watu wenye mahitaji maalumu , Wajane, Yatima ,Wazee na Masheikh katika Futari aliyowaandalia iliyofanyika ukumbi wa Tibirinzi Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba Machi 28 2024.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here