Home MICHEZO TAIFA STARS YANG’ARA KIMATAIFA YASHINDA 3-0.

TAIFA STARS YANG’ARA KIMATAIFA YASHINDA 3-0.

Na Mwandishi wetu

HATIMAE ya Taifa ya Tanzania imepeta kimataifa kwa kupata ushindi wa 3-0 Mongolia (Kelvin 49’ Sopu 63’ Novatus 76’) kwenye mchezo wake wa pili ikiwa ugenini.

Ushindi huo ni wa kwanza kwa Taifa Stars katika michezo ya FIFA Series baada ya awali kupoteza 1-0 dhidi ya Bulgaria.

Kupitia ushindi huo inatoa mwanga wa Tanzania kuendelea kufanya vizuri zaidi katika anga za kimataifa.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here