Home MICHEZO SIMBA SC YAWATUNGUA MBILI BILA MASHUJAA.

SIMBA SC YAWATUNGUA MBILI BILA MASHUJAA.

Na Mwandishi wetu

SIMBA Sc imefanikiwa kuzitwaa point tatu muhimu katika mchezo wa ligi kuu kati yao na Timu ya Mashujaa toka kigoma mzunguko wa pili Machi 15 2024 Uwanja wa Azam Complex.

Katika mchezo huo ambao Simba walicheza wakiwa nyumbani na Mashujaa wakiwa ugenini unawapa Simba walifanikiwa kushinda Gori Mbili Bila dhidi ya wapinzani wao.

Mashujaa wanakibarua kigumu katika mchezo ujao kupambana kusaka point tatu kuzitumia katika ligi.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here