Home KITAIFA RAIS DK.SAMIA ASHIRIKI TAMASHA LA TAWiFA

RAIS DK.SAMIA ASHIRIKI TAMASHA LA TAWiFA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Samia Suluhu Hassan akiwasili ukumbini kwa ajili ya uzinduzi wa Chama cha Wanawake Sekta ya Fedha Tanzania (TAWiFA) katika hoteli ya Kwanza, Kizimkazi Zanzibar tarehe 14 Machi, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Tamasha la Wanawake Sekta ya Fedha ambalo limefanyika Kizimkazi, Zanzibar tarehe 14 Machi, 2024. Tamasha hilo limeandaliwa na Chama cha Wanawake Sekta ya Fedha (TAWiFA) kwa kushirikiana na Taasisi ya Mwanamke Initiatives (MIF) pamoja na TIRA.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here