Home KITAIFA Majaliwa akutana na Balozi wa Qatar nchini

Majaliwa akutana na Balozi wa Qatar nchini

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amekutana na Balozi wa Qatar nchini Fahad Rashid Al Muraikhi, pia amepokea salamu za pole ya Rais Mstaafu wa awamu ya Pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Ali Hassan Mwinyi, kutoka Serikali ya Qatar, zilizotolewa na Balozi huyo katika Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es salaam Machi 8.2024.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here