Home KITAIFA RAIS DK. MWINYI APOKEA SALAMU ZA POLE KUTOKA KWA MASAUNI

RAIS DK. MWINYI APOKEA SALAMU ZA POLE KUTOKA KWA MASAUNI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amepokea salamu za pole nyumbani kwake Ikulu Migombani kutoka kwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Hamad Yussuf Masauni kufuatia kifo cha Baba Mzazi, Rais Mstaafu wa Zanzibar na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Mzee Ali Hassani Mwinyi aliyefariki dunia Februari 29 jijini Dar es Salaam na kuzikwa Machi 2 2024, Mangapwani, Mkoa wa Kaskazini, Unguja.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here