Home KITAIFA Dk.Mataragio apishwa kuwa Naibu Katibu Mkuu Nishati

Dk.Mataragio apishwa kuwa Naibu Katibu Mkuu Nishati

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Samia Suluhu Hassan akimuapisha Dk. James Peter Mataragio kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Ndogo Tunguu, Zanzibar leo Machi, 5 2024.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here