Home KITAIFA Rais Dk.Samia ashiriki Khitma ya Hayati Mzee Mwinyi

Rais Dk.Samia ashiriki Khitma ya Hayati Mzee Mwinyi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan akisoma Juzuu wakati wa khitma ya Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa Awamu ya Pili Hayati Ali Hassan Mwinyi aliyefariki Februari 29 mwaka huu Khitma hiyo imeandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan na kufanyika kwenye viwanja vya maonyesho Nyamazi mkoa wa Mjini Magharibi, Zanzibar Machi, 3 2024.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here