Home MICHEZO Rais Dk.Samia aipongeza yanga kufuzu robo fainali

Rais Dk.Samia aipongeza yanga kufuzu robo fainali

Naipongeza Klabu ya Yanga kwa kufanya vyema katika hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF), na kufanikiwa kufuzu hatua ya Robo Fainali. Mafanikio haya yameandika historia kubwa kwa klabu na sekta ya michezo nchini. Mmeleta furaha kwa mamilioni ya mashabiki wenu na Watanzania kwa ujumla.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here