Home MICHEZO Rais Dk.Samia aipongeza simba

Rais Dk.Samia aipongeza simba

Hongereni sana Klabu ya Simba kwa kufanikiwa kufuzu hatua ya Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Mafanikio yenu si tu furaha na fahari kwa mashabiki na wanachama wa Klabu ya Simba, bali pia kwa Taifa na Watanzania wote.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here