Home KITAIFA Rais Dk.samia afungua mkutano wa Mawaziri wa sheria

Rais Dk.samia afungua mkutano wa Mawaziri wa sheria

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Mawaziri wa Sheria wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola uliofanyika katika Hoteli ya Golden Tulip, Zanzibar tarehe 04 Machi, 2024.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here