Home KITAIFA

Baadhi ya wageni waalikwa kutoka nchi wanachama za Jumuiya ya Madola wakifuatilia kwa makini hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Mawaziri wa Sheria wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola uliofanyika katika Hoteli ya Golden Tulip, Zanzibar Machi,4 2024.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here