KITAIFA
DK. SAMIA: VIONGOZI WA DINI HIMIZENI AMANI YA NCHI NA KULEA...
Dar es Salaam
RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi wa dini kuendelea kudumisha amani ya nchi na kubaki kwenye jukumu la kuwalea...
KIMATAIFA
USHIRIKIANO WA TANZANIA NA KOREA KULETA MAGEUZI SEKTA YA MADINI NCHINI
Seoul, Korea Kusini
NAIBU Waziri wa Madini Dk. Steven Kiruswa amesema kuwa kutokana na kuongezeka kwa mahitaji na matumizi ya Madini Muhimu duniani, Tanzania ina...
MICHEZO
WAZIRI MKUU AKAGUA VIWANJA VITAKAVYOTUMIKA CHAN AGOSTI 2025
Dar es Salaam
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa leo Machi 29, 2025 amefanya ukaguzi wa viwanja vitakavyotumiwa kufanyia mazoezi na timu zitakazo shiriki michuano ya...
POPULAR VIDEO
SERIKALI KUTUMIA VIKAO RASMI KUTOA ELIMU YA FEDHA
Na Josephine Majula, Kagera
MKURUGENZI wa Halmashauri ya Wilaya ya Muleba, Isaya Mbenje, amesema kuwa Serikali itaanza kutumia vikao vyake rasmi kutoa elimu ya huduma...